Wednesday, July 20, 2016

PESA YA FIELD KATIKA SURA MPYA

Awali ilitegemewa kwamba pesa hiyo ingetolewa kabla ya wanafunzi wote kufunga chuo, Mpaka kufikia juzi waziri NDALICHAKO alilitolea ufafanuzi suala hili na kusisitiza pesa haiwezi kutolewa mpaka pale zoezi la uhakiki litakapokamilika.

Wanachuo wameiomba ofisi iwaruhusu kwenda kufanyia field maeneo ambapo kila mmoja anatokea., Hata hivyo ofisi  imetupilia mbali maombi hayo na kusisitiza hakuna ratiba itakayo badilika kuwa tofauti na ilivyopangwa awali.

Wanachuo wamelazimika kukutana asubuhi hii ili kushinikiza ofisi iwape ruhusa ya kwenda kufanyia field makwao.

Tautazidi kukujulisha kwa chochote kitakachokuwa kinaendelea.

Monday, July 11, 2016

DAKA MZIGO KI-SMART.

























DAKA NA BEI YA KI-SMART.
KUNA BIDHAA KIBAO KWENYE SOKO, KAMA VILE,
LAPTOPS,DRESSING TABLE,JAGI LA UMEME, VITANDA,MEZA,SOFA, JIKO LA GESI, BUFA NA BIDHAA NYINGINE KEDEKEDE,..........

UKIFIKA BEI MZIGO UNAKUKUTA ULIPO.
PIGA 0765585479 .

KISHA DAKA.

Wednesday, July 6, 2016

EXCLUSIVE: Wema Sepetu kaongea kuhusu Diamond kumpost Instagram jana

July 5, 2016 mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris.
AyoTV ilimpata Wema na ameyasema haya >>>Watu wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia followers hasa kwenye mitandao yao kwasababu mtu anaweza akatokea sehemu yoyote na kuanza kunitukana mimi au kumtukana Naseeb akajipatia followers wa kutosha, kuna muda mimi nilikuwa naogopa kuimba wimbo wa Diamond unapopigwa naogopa hata kucheza’
Nikisikia nyimbo za Naseeb siwezi kuimba inanibidi nikaze lakini mwisho wa siku najikomoa mimi mwenyewe nikikaa kwenye gari nitaimba kama utakuwa unakumbuka nilivyoimba mara ya kwanza watu wakashangaa wakawa wanajiuliza maswali mengi sana, kwasasa hatuko kwenye mapenzi lakini tunasaidiana kazi kuonesha uzalendo’

KUHUSU TAARIFA ZA AJALI YA BASI LA NGORIKA

Kumekuwapo na picha ambazo zimesambaa kuhusu ajali inayodaiwa kuhusisha basi la kampuni ya Ngorika na lingine la Ratco kwamba yamegongana uso kwa uso. Millardayo.com imempata kamanda wa polisi mkoa wa Pwani, Bonaventure Mushongi na ameeleza haya……
>>> ‘mpaka sasa hivi kulingana na mimi nilivyofuatilia bado sijaona, tumejaribu kufuatilia kila hatua, hawa waliotuma wanaweza wakatusaidia lakini mpaka sasa hivi kulingana na taarifa zangu za barabarani sina taarifa hizo mpaka sasa hivi’
>>>’hali hii inatisha watu, unajua siku mbili tatu kumekuwa na ajali za kutisha hivyo unapoongelea vitu vingine unasababisha taharuki, ningeliomba tusitumie vibaya mitandao hii kwa sababu sheria ziko wazi’