jioni ya leo katika uwanja wa MMU ndipo shughuli nzima ilitokea,wemyeji timu ya MMU iliwakaribisha timu kutoka chuo kikuu cha SAUT tawi la hapa jijini arusha.
Timu zote zilikuwa vizuri kiufundi,lakini kwa upande wa timu ya MMU tulishuhudia vijana wa mwaka wa kwanza kabisa,wakiiwezesha timu yao kuibuka na ushindi wa 2-1.magoli ya MMU yalifungwa na Adam pamoja na Temba,wakiwa wote ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza tu.
Tunawashukuru mashabiki wote mlioweza kuhudhuria uwanjani leo katika kushuhudia mtanange huo wa kufa na shoka na vile vile usisahau kuwa tar 12 kuna mchezo mwingine kati ya timu ya MMU na MMUSO united.
ENDELEA KUTEMBELEA BLOGU YETU NA YOUTUBE CHANNEL YETU INAYOITWA ADAMU KIHOMILE KWA INTERVIWES NA VIDEOS NYINGI.
No comments:
Post a Comment
Comment here