Sunday, January 17, 2016
"WELCOME FIRST YEAR" UKARIBISHO UTAKUWA HIVI MOUNT MERU UNIVERSITY 2016.
mwenyekiti wa christian union wa mount meru university ndugu isaac mwakalago anakupa mwaliko katika semina ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza kwa wanafunzi wa digrii na diploma.
semina hiyo itakusanya wanafunzi wote na si lazima awe mwaka wa kwanza tu,ni kwa wanafunzi wote wa MMU,na kutakuwa na wageni mbalimbali watakuwepo kama pastor titus kwa ajili ya huduma ya vijana na viongozi wengine.
semina itafanyika siku ya jumanne ya tarehe 19/01/2016 kuanzia saa 11 mpaka saa 12 jioni yaani kwa risaa limoja tu,chakula na vinywaji vitapatikana FREE kabisa.
sehemu ambayo semina itafanyika ni katika chapel ya chuo cha MOUNT MERU na hakuna kiingilio ndugu yangu.
ENDELEA KUTEMBELEA BLOGU YAKO BORA YA HABARI NA YOUTUBE CHANNEL YA ADAMU KIHOMILE KWA MAHOJIANO MBALIMBALI KWA KU SUBSRIBE,LIKE,COMMENT NA KU SHARE.
Ahsante kwa kutembelea blogu hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Comment here