Friday, February 5, 2016

kuhusu lengima na CCM,MMU



KWA BIDHAA MBALIMBALI KAMA MAJIKO YA GESI,MABEGI,VYOMBO VYA NYUMBANI NA BIDHAA ZOTE BORA NA KWA BEI NAFUU SANA,WASILIANA NASI KWA KUBEEP KATIKA 0755 633 133,TUPO KARIBU NA TAWI LA CRDB NGARAMTONI JIJINI ARUSHA,KARIBUNI SANA.



 leo nimepata fursa ya kuongea na lengima ambaye ni mwanachuo wa mwaka wa tatu MMU katika studio za adamu kihomile,imeonekana tangu kufunguliwa kwa semista hii ndugu lengima  amekuwa adimu sana campus ya MMU,sababu ni kwamba.ndugu lengima alipata fursa ya kugombea nafasi ya udiwani katika kata anayotokea huko jimboni kwao monduli mjini ARUSHA,na kwa bahati nzuri amefanikiwa kupata nafasi hiyo,hivyo kwa sasa yeye ni diwani rasmi kupitia CCM rasmi na ndiyo maana amekuwa adimu chuoni MMU.

No comments:

Post a Comment

Comment here