Hivi karibuni  zilisambaa picha mitandaoni zikionyesha part ya kimya kimya iliyofanywa na msanii mahiri wa Hip Hop Roma kwenye send off ya mama mtoto wake huku rafiki wake wa karibu Kala Jeremiah akionekana kama Best Man wa Roma naye akiwa na mwanamke ambaye wengi walijua ndiye msichana anaetoka nae kimapenziRoma-2Hatimaye kala ameweka wazi kuwa si kweli na yule alikuwa ndugu yake na mchumba wa Roma (mama Ivan)na ilibidi tu waonekane vile kwasababu Roma alimuomba siku chache kabla ya tukio lenyewe.
roma send off
Kuhusu mahusiano yake Kala amesema tayari ana mpenzi ingawa hayupo tayari kumuweka wazi na tukio la juzi wala halijamkasirisha mpenziwe kwasababu ni mtu muelewa sana.