JINSI YOUTUBE ILIVYOMCHOMOA DAVIDO KITANZINI
Polisi nchini Marekani hivi karibuni walivamia nyumba ya star wa Nigeria, Davido, iliyopo mjini Atlanta Georgia.
Kwa mujibu wa Africa facts
zone, Polisi ilichukua uamuzi baada ya kuona ‘bata’ analokula Davido
katika makazi hayo bila kufahamu hasa kipato chake kinatokana na nini?
Kilichomsaidia staa huyo
asikamatwe na mapolisi hao ni baada ya kuwaeleza kuwa yeye ni msanii
mkubwa wa muziki Afrika, na kuwaonyesha channel yake ya muziki ya
Youtube ambayo inatembelewa na zaidi ya watazamaji milioni 100.
No comments:
Post a Comment
Comment here