Monday, April 11, 2016

HII NDIO KOZI ISIYO NA MTIHANI KABISA MMU


IPSL INAKULETEA KOZI YA BURE KABISA LAKINI YENYE MANUFAA KIBAO KATIKA KUJITENGENEZEA CV YAKO,KOZI HIYO ITAHUSU 'THE ROLE OF INSTITUTIONS IN TANZANIA" KUPITIA KOZI HII UTAJIFUNZA MENGI YANAYOIHUSU NCHI YETU NA PIA MASUALA NYETI AMBAYO HUTAFUNDISHWA DARASANI,YATAFICHULIWA YOTE MABAYA NA MAZURI.

KOZI HII ITAENDESHWA KWA NJIA YA MAJADILIANO NA MAZOEZI MADOGO MADOGO YA KILA WIKI,HAKUTAKUWA NA MITIHANI NA MWISHO WA SIKU KILA MTU ATATUNUKIWA CHETI NA PIA CHETI HICHO UTAENDA KUPATA 3 CREDITS ENDAPO UTAENDA KUJIENDELEZA KIMASOMO NJE YA NCHI KAMA MAREKANI NA UINGEREZA.

ENEO:MOUNT MERU UNIVERSTY-ARUSHA
VENUE:HB1
SIKU:JUMATANO,SAA 10 JIONI,

WOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment

Comment here