UNAPATIKANA MADUKANI KOTE,NUNUA UONE TOFAUTI
Kuanzia siku ya ijumaa ya wiki hii au jumatatu ya wiki
ijayo,yale mashindano yaliyokuwa yakisubiliwa kwa hamu MMU (interclasses
competition) yataanza kutimua vumbi.
Kwa mujibu wa waziri mwenye dhamana hiyo,mheshimiwa chite
amesema,kwa upande wa mpira wa miguu kutakuwa na jumla ya timu 7,ambazo zipo
katika makundi ya A na B.
Kundi A litazikutanisha timu za BED 3,DED 1,BBA na TOWN
CAMPUS ambapo kundi B litakuwa na timu za DED 2,BED 1 na BED 2.Michezo mingine
itakayokuwepo ni pamoja na netball na volleyball na zawadi zimeboreshwa zaidi.
Ahsante kwa kuisoma habari hii ndugu yangu,Unaweza
kunifollow instagram/facebook kwa jina la adamu kihomile kwa dondoo nyingi
zaidi.
No comments:
Post a Comment
Comment here