Inakumbukwa wazi ya kwamba,ni juzi tu chuo kikuu cha mount meru kilimpoteza mkufunzi na kiongozi wa juu chuoni hapa,dk kabugumila ambaye tayari ameshapekwa tayari mbele ya haki.
sambamba na hilo,ambalo lilikuwa ni upande wa utawala,simanzi hiyo kwa sasa imehamia upande wa wanafunzi ambapo mwanafunzi wa mwaka wa pili wa daraja la shahada,amefariki dunia.
Taarifa za awali zinasema kwamba mwanafunzi huyo wa kike alikuwa anasumbuliwa na presha,na kutokana na msiba huo,vipindi mbalimbali chuoni vimehairishwa.
TAARIFA MPYA YOYOTE UTAZIPATA HAPA KILA SIKU.
No comments:
Post a Comment
Comment here