picha ya hapo juu inaonyesha mazungumzo ya kikundi cha watsapu cha chuo ambapo ilionekana baada ya nahodha orodha ya majina ya wachezaji watakaovaana na BBA leo,ndipo kiungo mshambuliaji wa timu hiyo,Tange alijitoa katika kikundi hicho.
Wadau mbalimbali wa soka wamekitafsiri kitendo ni kama amesusa na huenda asionekane uwanjani akisakata kabumbu.
hapa nimekusogezea kikosi cha BED 3 ya leo ndugu yangu kwa mujibu wa nahodha wa BED3,JAMES MWANDU.
- frank/blastus
- leonard
- sam/malisel
- chuji
- laizer
- davido
- hussein
- momo
- mboi
- flav
- jiga na katika benchi la wachezaji wa akiba watakuwepo wafuatao
- chite
- alex
- tange
- maliseli
- jonas #TUKUTANE UWANJANI.
No comments:
Post a Comment
Comment here