katika hatua ya makundi ya ligi ya chuo cha MMU tumeshuhudia wakongwe wa chuo hiko kuondoka na alama 3 muhimu dhidi ya DED 1 ambapo goli pekee la kiungo wa kati wa timu hiyo MOMO,lilitosha kabisa kuisambalatisha ngome ya DED 1.
Na katika mchezo mwingine wa mpira wa meza,DED 2 waliwashinda BED 1 kwa set 2.
No comments:
Post a Comment
Comment here