kitu kizuri na cha kutia moyo kwa watanzania na mashabiki wa mbwana samatta,katika ushindi huo amefunga goli moja dakika ya 27 ya mchezo huku mchezaji karelis akiondoka na mpira baada ya kufunga magoli matatu peke yake na lingine alifunga walsh.na goli la kufutia machozi la charleroi akifunga perbet katika dakika ya 40 ya mchezo.
AHSANTE KWA KUISOMA
No comments:
Post a Comment
Comment here