Ijumaa ya wiki hii ndiyo siku husika ya mechi hiyo ambayo itawakutanisha wakongwe wa chuo cha MMU, BED 3 na DED 2 ambao wote watamaliza chuo mapema mwaka huu.
Cha kufanya ndugu yangu,ingia kwenye sehemu ya COMMENT alafu utoe utabili wako,idadi ya magoli na wafungaji.
VIGEZO NA MASHARTI,KUZINGATIWA
No comments:
Post a Comment
Comment here