June 17 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es saalam Paul Makonda akishrikiana na Jeshi la polisi wamewakatamata watu watano maeneo ya Coco Beach Jijini Dar es salaam kwa kosa la kukutwa wanakunywa pombe mpaka asubuhi, ambapo watuhumiwa wote walifikishwa katika kituo cha Oystebay polisi.
‘Hii ni baada ya tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutangaza kufungwa kwa Bar zote ifikapo saa sita usiku ‘Tumewakuta watu hawa katika maeneo ya Coco Beach alfajiri ya leo wakiwa wanakunywa pombe mida hiyo, naomba hii iwe ni fundisho kwa watu wengine na serikali imeshakataza watu kukesha Bar‘>>>Paul Makonda
No comments:
Post a Comment
Comment here