ALIKIBA:SIJAWAHI KUTONGOZA MWANAMKE
Mahusiano yanasiri kubwa na kila mmoja
anajua jinsi gani alivyoingia katika mahusiano ya kimapenzi, kwa upande
wake Ben Paul Hit Maker wa Ningefanyaje aliwahi kufall In Love na
msichana ambaye hakumtaja jina katika mazingira ambayo hakuyategemea ila
ukaribu ndio uliwapelekea kuwa pamoja, mpaka akamua kuachia wimbo huo
wa Ninefanyaje.
Hivi ndivo msanii mwenye sauti nyororo
nchini Alikba ambaye inasemekana anatoka kimapenzi na mwanadada nyota
kwenye masuala ya mitindo, muziki na filamu maarufu kama Jokate walivyo
ingia kwenye penzi zito, baada yakuwa marafiki.
Akizungumza katika moja ya mahojiana
yake Alikiba ameeleza kuwa hajawahi kutongoza mwanamke, hujikuta tu
wanaingia kwenye mahusiano baada ya kujenga urafiki“Haya
mambo ya kutongoza mimi sijatongozaga,” alisema . “Mimi nakwambia maisha
yangu yote sijawahi kutongoza. Tunakuwa friendly hivyo vitu vinatokea
halafu basi, tayari wapenzi.”
No comments:
Post a Comment
Comment here