
Xavier
Vanneste alipata wazo la kujenga bomba litakalosafirisha bia miaka minne
iliyopita, mwanzoni lilionekana wazo lisiloeleweka, lakini baadae
likakubalika na takribani wanywaji 400 wakajitokeza kuchangia mradi
huo.

Xavier Vanneste
mmoja wa watu waliochangia mradi huo ambaye ni mmiliki wa mgahawa, Philippe Le Loup anasema……….>>>‘inatakiwa
uwe kama una kichaa fulani kidogo hivi kama bia yenyewe kufanya mradi
kama huu, mimi nilikuwa na pesa kwa ajili hiyo kwa hiyo nikapenda
nikatoa fedha’
Katika mradi huu wanywaji walichangisha dola milioni 3 hivyo wameahidiwa kupata bia moja kila siku bure maisha yao yote.

Xavier
Vanneste amekuja na wazo la kutengeneza bomba kwa ajili ya kusafirisha
bia kwa sababu hakutaka kutumia malori kwa kuwa yangeharibu mji, bomba
limetoka ilipo kampuni ya bia kuelekea nje ya mji kama km 2.

Malori yaliyokuwa yakitumika kabla
No comments:
Post a Comment
Comment here