Thursday, December 17, 2015

KITACHOWAKUTA WAKUU WA SHULE HIKI HAPA MTU WANGU

Naibu waziri wa elimu Stella MANYANYA  amesema,mwanafunzi wa darasa la 3 asipojua kusoma,kuandika na kuhesabu,mwalimu mkuu wa shule hiyo anafukuzwa kazi#HABARILEO

No comments:

Post a Comment

Comment here