Wednesday, February 10, 2016
KILICHOMKUTA MCHOME MAHAKAMANI LEO KUHUSU KESI YAKE
Hakika ya mungu ni mengi sana katika dunia,waziri mkuu wa chuo cha MMU cha mjini Arusha ,mh lembrus mchome amefanikiwa kushinda kesi yake iliyokuwa inamkabili dhidi ya chama cha mapinduzi(CCM) mapema katika mahakama ya wilaya ya mwanga mkoani kilimanjaro akiwa na wakili wake ndugu peter kibatala. CCM ilimfungulia mchome kesi hiyo katika kile kipindi cha uchaguzi mkuu uliofanyika oktoba 2015.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Comment here