Leo febuari 7 kulikuwa na mchezo wa kirafiki wa mpira wa miguu uliofanyika uwanja wa MOUNT MERU UNIVERSITY ambapo ulizikutanisha timu ya KVkutoka tengeru iliyokaribishwa na wenyeji wao MMU.
katika mtanange huo,timu ya soka ya MMU ilifanikiwa kuilaza KV kwa bao 7 dhidi ya 2 za KV.
No comments:
Post a Comment
Comment here