Sunday, March 27, 2016

MWANACHUO MMU AAMUA KUANIKA MAHUSIANO YAKE FACEBOOK

katika pitapita zangu leo,nikakutana na habari ambayo nikaona ngoja niwashirikishe ndugu zangu,NISEME??? mwanafunzi wa mwaka wa tatu anayesomea masomo ya ICT/GEO chuoni MMU ndugu abdallah mungia,ameamua kufunguka na kuweka wazi ya kwamba,kwa sasa yupo katika mahusiano ya kimapenzi na kutuhakikishia ya kwamba ana mwenza.

ubuyu huo tuliupakua kutoka huko facebook,katika msimu huu wa pasaka

No comments:

Post a Comment

Comment here