Thursday, March 24, 2016

TIMU YA BED 3 WATAVAA JEZI HIZI KWA USHAWISHI WA CRISTIANO RONALDO


ikiwa wamebakiza takribani miezi 3 kabla ya kumaliza muda wao wa masomo wa miaka 3,timu ya mpira wa miguu wa mwaka wa tatu MMU watachagua jezi za klabu ya soka ya ureno,FC PORTO kuwa ndio jezi rasmi katika michuano yote watakayoshiriki mpaka mwisho wa masomo yao na wachambuzi wa soka wameona kitendo cha uteuzi wa jezi hizo,umetokana na labda kutokana na ushawishi wa ronaldo ambaye miaka kadhaa iliyopita alichezea ligi  hiyo ya ureno akiwa sporting lisbon

No comments:

Post a Comment

Comment here