Wednesday, March 16, 2016

NI KWELI PESA YA BOOM ITASAINIWA IJUMAA?





kwa mujibu wa waziri wa mikopo wa MMUSO ndugu baraka chitalilo,amesema kwamba hata yeye
anapenda asainishe kabla ya watu kwenda likizo,lakini kuna sababu zilizo nje ya uwezo wake ambazo bado zinamfanya asiwe na uhakika kama BOOM itasainiwa siku ya ijumaa,"bado sina uhakika sana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu na ikiwa mambo yataenda vizuri,tutawafahamisha ya kwmba kama tutasaini ijumaa au la"alisema baraka chitalilo.

No comments:

Post a Comment

Comment here