Thursday, April 14, 2016

DJ WA DIAMOND "ROMMY JONES" AMBAKA MSICHANA SWEDEN



 
Inasemekana alimbaka mdada wa kibongo aishie sweden anaitwa Deborah
ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana swden embassy ya tz washataarifiwa.
 
Wadaku wanadai rommy jones hakumaliza ziara ya chibu chibude huko ulaya kwani alikimbia soo na chat sms zimewekwa hadharani akiomba msamaha.
 
wambeya wanadai meneja wa diamond aitwaye salaam alikuwa radhi kuto aeuro 10,000 ili kuua soo ila bidada akakataa

No comments:

Post a Comment

Comment here