NANI MBABE KATI YA ALIKIBA NA MSANII HUYU?
Watu wengi walikuwa wanasema na kuuliza nani alie mfunika mwenzake katika Ngoma ya Nagharamia haswa kwenye upande wa sauti.
Aby Dady ambaye ni Prodyuza wa Nyimbo
hiyo alimaliza utata baada ya kusema kila mmoja alifanya kwa ujunzi na
ubunifu wake na kuongezea kuwa Ali Kiba na Christian Bella kila mmoja
ana asilimia 50% kwa 50%.

Kila mmoja alikuwa na sehemu yake
ukisikilza Sauti ya Ali Kiba na ukisikiliza Sauti ya Bella unaweza kuona
jinsi gani walivyofanya vizuri kwa kila mmoja na sehemu yake na umuhimu
wake katika ile nyimbo. Aliongeza Prodyuza Abby Daddy
No comments:
Post a Comment
Comment here