Friday, May 13, 2016

HII NDIO MAANA YA X YA MALCOM X

[​IMG]
Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu

Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X

Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi



UNAWEZA PIA KUTAZAMA
MTAZAME MWANACHUO ANAYEINGIZA PESA NYINGI ZAIDI KWA MWEZI





NGOMA MPYA YA MSANII KIDUKU

No comments:

Post a Comment

Comment here