wote tunajuwa ya kwamba leo ndio kutakuwa na kilele cha ligi ya MMU ambayo hufanyika kila mwaka,na mwaka huu itawakutanisha wenyeji wa chuo BED 3 v BDE 2 lakini baada ya leo,masikio na macho ya wanachuo wote yatakuwa makini katika mchakato wa kumpata mrithi wa rais ALLEN AUDAX ambaye aliyemaliza muda wake kwa sasa.
Uchaguzi huu ambao harakati zake zimeshaanza mapema wiki hii,utawakutanisha wapinzani wakubwa wawili ambao ni MANYAMA OMARY na MUSSA BONIPHASE,na inaonekana kuwa na mbwembwe na tambo mbalimbali kiasi cha kwamba mpaka watu wanatamani kipindi kisipite.
blogu hii ilifanya mahojiano na rais mstaafu ndugu allen kujua ni nani anafaa kuwa rais
BOFYA HAPA CHINI KUMSIKIA RAIS ALLEN AUDAX NA RAIS MPYA AMTAKAYE MMUSO.
BONYEZA HAPA
TUKUTANE UWANJANI,TUTENGENEZE HISTORIA MPYA
No comments:
Post a Comment
Comment here