Je mpenzi wa zamani wa Diamond Platinumz bi Wema Sepetu kapata mchumba?
Kulingana
na ujumbe uliochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na
mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Big Brother Idris Sultan,Wema sio tu eti keshapata mchumba ila pia ashapata uja uzito!
- wa sababu ya ukosefu wa uwezo wa kupata mimba.
''Mimi nawe sio wa kawaida. Nala, natembea, nalala, nazungumza nikikuwazia wewe tu.''
''Na kama utadhani kuwa umebahatika kuwa nami, pia mimi naona nimebahatika kuwa nawe.''
“Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike”.
''Au ukiingia jikoni kwangu na unapika na kuniandalia chakula kizuri,” aliandika Idris.
“Nitafanya kila niwezalo ilimradi ufurahi.
''Nitakulinda, nikupende, nikutendekeze, tupike nawe, tujiburudishe kwa pamoja na kujivinjari; kwa hakika wewe ndiye uliyekonga moyo wangu''.
''Wewe ndiye mke wangu''.
Wema kwa upande wake alimsifu Idris kwa ucheshi wake hata mara nyengine akiachilia picha zake kwenye mtandao wake wa Instagram na kumtambua kama ''mpenzi''
Wema alitofautiana na Diamond Platinumz na akakurubiana na mwakilishi mwengine wa Big Brother Luis Munana raia wa Namibia.
No comments:
Post a Comment
Comment here