Saturday, January 23, 2016

BAADA YA DIAMOND KUJIITA SIMBA, HUYU HAPA MWINGINE AIBUKA





Yatosha

Baada ya DIAMOND PLATNUMZ Kujiita Simba yaliibuka mengi kuhusu suala hilo nakufikia hatua kubwa ya kuzua mjadala  ya juu ni nani mmiliki wa jina hilo? kati ya Diamond Platnumz, Mr Blue na Afande Sele.tupendane-800x445

Sekeseke hilo la jina la Simba limehamia nchini Kenya baada ya msanii mahiri nchini humo kuanza kujiita jina hilo, kupitia ukurasa wake wa Instagram Willy Paul ameweka picha na kuandika neno Simba, jambo lililozua mjadala wadau mbalimbali wa muziki.12534096_942901609135210_1101957755_n

No comments:

Post a Comment

Comment here