WAKATI JK ALIYAFANYA HAYA KWA KUJIIBA,OBAMA HANA MUDA HUO,YEYE NI ‘KULA BATA’ KWENDA MBELE

Yatosha
WASHNGTON,Marekani

WAKATI wa utawala wa Rais wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete,moja kati ya jambo alilokuwa akililalamikia kwa sana ni juu ya kukosa uhuru wa kufanya baadhi ya mambo yake binafsi kwa kuwa alikuwa analindwa kila mara.D92A9977Dr Kikwete alifikia hatua ya kusema kuwa anatamani amalize muda wake haraka ili apate muda wa kufanya mambo yake bila ya kushirikisha kurugenzi mbalimbali za uchunguzi na utafiti.ms2Moja kati ya vitu alivyowahi kusema kuwa ‘anavimiss’ ni pamoja na kwenda kucheza dansi pamoja na bao lakini pia alikuwa hawezi kula baadhi ya vyakula kwa kile alichoelezwa kuwa vingeweza kumdhuru.mso1Hali hii ilimfanya Dr Kikwete kufanya baadhi ya mambo kwa kujiiba ,mathalani alijiiba kucheza mziki pindi anapokutana na wasanii ambapo hapo angeweza kukata kiu yake ya kusakata rumba pamoja na wasanii bila ya walinzi wake kumwingilia kwa kuwa hatua hiyo inakuwa miongoni mwa ratiba zinazomtaka yeye kufanya hivyo.w65 hqdefaultWakati mwingine ambao aliutumia kujiiba toka katika mikono ya walinzi wake ni wakati wa ziara mbalimbali za kitaifa na kimataifa,hapo Jk angeweza kukutana na watu wake wa kitambo na kupiga nao soga muda mfupi kisha kuendelea na ratiba nyingine.f39
Wakati mwingine pia Jk alitamani kulala hata chini ili tu kukidhi haja yake ya kutaka uhuru wa kufanya kile atakacho kama binadamu wa kawaida,ili kukidhi hayo pia alitumia fursa ya ziara zake mbalimbali kutekeleza mambo kama hayo.Makete 18E9U8596xxLakini hali hii ni tofauti kwa Rais wa Marekani,Barack Obama ambaye yeye hufanya kila atakacho muda wowote ule ajisikiavyo bila kushurutishwana walinzi wake.HJ3Labda tu liwe jambo linaloweza kudhuru maisha yake,hapo angeweza kuongozwa kwanza kisha akaruhusiwa kufanya vile atakavyo.
Hivi hapa ni baadhi ya picha zinazomwonyesha Obama akiwa kajiachia bila kuwepo hata mlinzi wake karibu naye,wakati anakula kile akitakacho na kutmbea na watoto wake katika safari zake za kifamilia
PICHA2FC131FC00000578-3382262-image-a-1_1451793511160 2FC131A600000578-3382262-image-a-2_1451793527461 2FBAD81900000578-3381565-image-a-3_1451693812543 2FBACAC400000578-3381565-image-a-1_1451693800667 2FBACABE00000578-3381565-image-a-16_1451693896944 2FBACAAA00000578-3381565-image-a-10_1451693873654 2FBACAA200000578-3381565-image-a-20_1451693925876 2FBACA9400000578-3381565-image-a-2_1451693804590